Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji wa Argentina ashambuliwa kwa kuchora "tattoo" ya Ronaldo (+Video)

Video Archive
Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Argentina Yamila Rodriguez (25) amewajibu Mashabiki wanaomkosoa ktokana na kujichora Tattoo yenye sura ya Criastiano Ronaldo.

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Argentina Yamila Rodriguez (25) amewajibu Mashabiki wanaomkosoa ktokana na kujichora Tattoo yenye sura ya Criastiano Ronaldo. Msakata kambumbu huyo amesema kuwa kumchora Ronaldo katika mguu wake haimaanishi kwamaba anamchukioa Lionel Messi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live