Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji nyota wa Kaizer Chiefs atangaza kustaafu timu ya taifa

Ziijwh.jpeg Mchezaji wa Kaizer Chiefs, Khama

Mon, 15 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji nyota wa KaizerChiefs, Khama Billiat (31) ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Zimbabwe ghafla hivi leo.

Akiwa na timu ya taifa, Khama alicheza zaidi ya michezo 40 na kufunga mabao 17.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live