Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji aliemuoa CEO wa Klabu afariki Dunia

IMG 6235.jpeg Bonginkosi Ntuli

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya Amazulu wamethibitisha kifo cha mshambuliaji Bonginkosi Ntuli kilichotokea jana Jumapili mchana.

Hivi majuzi aligundulika kuwa na aina kali ya saratani ambayo tayari imesha sambaa na hatimaye kupelekea kifo chake katika Hospitali ya Kibinafsi ya Midlands Medical Center, huko Pietermaritzburg mchana wa leo.

Mchezaji huyo wiki chache zilizopita alifunga pingu za maisha na mpenzi wake ambahe pia alikuwa C.E.O wa klabu hiyo ya Amazulu Takribani miezi miwili tu dada yetu anabaki peke yake

Chanzo: www.tanzaniaweb.live