Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji aliempa kichapo Shabiki Uturuki aendelea kupeta Uwanjani

FotoJet 2024 03 25T233111 Mchezaji aliempa kichapo Shabiki Uturuki aendelea kupeta Uwanjani

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka la Uturuki limethibitisha kuwa klabu ya Trabzonspor itacheza mechi zao sita zijazo za nyumbani bila mashabiki huku wachezaji wawili wa Fenerbahce wakifungiwa mechi moja kutokana na rabsha wakati timu hizo zilipokutana.

Shirikisho la soka la Uturuki limethibitisha kuwa klabu ya Trabzonspor itacheza mechi zao sita zijazo za nyumbani bila mashabiki huku wachezaji wawili wa Fenerbahce wakifungiwa mechi moja kutokana na rabsha wakati timu hizo zilipokutana. Bright Osayi-Samuel , ambaye alishambuliwa na shabiki uwanjani na kuonekana akipambana na shabiki huyo ili kujiokoa, hajapewa adhabu yoyote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live