Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji agoma kuvaa fulana ya Ukraine

STOP WAR.jpeg Mchezaji agoma kuvaa fulana ya Ukraine

Thu, 3 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanasoka wa Uturuki, Aikut Demir ambaye pia ni nahodha katika Klabu ya Soka ya BB Erzurumspor ya nchini humo, amezua gumzo mitandaoni baada ya kukataa kuvaa fulana iliyoandikwa ujumbe wa ‘Sitisheni Vita’ kwa ajili ya kuionea huruma #Ukraine na kupinga uvamizi wa majeshi ya Urusi nchini humo.

Alipohojiwa kwa nini amefanya kitendo hicho, Demir alisema; “Maelfu ya watu wanauawa kila siku katika nchi za Waislam, nasikia huzuni pia, nasikia uchungu wa watu wasio na hatia.

“Wale wanaopuuza mauaji hayo huko, leo hii ndio wanafanya haya mambo mara tu nchi za Ulaya zinapopata mikasa hii. Sikuvaa fulana ile kwa sababu halikuvaliwa kwa ajili ya nchi za Waislam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: