Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji afungiwa kwa kugoma kupeana mkono na Kocha wake

Fofana Afungiwaaaaaa David Datro Fofana

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

David Datro Fofana amesimamishwa kwa wiki moja na Union Berlin baada ya kukataa kupeana mkono na kocha mkuu Urs Fischer baada ya mchezo UEFA dhidi ya Napoli.

David Datro Fofana amesimamishwa kwa wiki moja na Union Berlin baada ya kukataa kupeana mkono na kocha mkuu Urs Fischer baada ya mchezo UEFA dhidi ya Napoli. Fofana alijiunga na Union Berlin kwa mkopo kutoka Chelsea mwezi Julai.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live