Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji afungiwa kechi 10 na faini ya Sh 500,000 kwa kumshika nyeti mwamuzi

Mwamuziii356879 Mchezaji afungiwa kechi 10 na faini ya Sh 500,000 kwa kumshika nyeti mwamuzi

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji Gilbert Boniface wa timu ya Cosmopolitan inayoshiriki Ligi ya Championship amefungiwa mechi 10 na faini Sh500, 000 kwa kosa la kumshika mwamuzi sehemu za siri kwenye mechi dhidi ya KenGold wakati akipinga maamuzi ya mwamuzi huyo.

Mchezaji Gilbert Boniface wa timu ya Cosmopolitan inayoshiriki Ligi ya Championship amefungiwa mechi 10 na faini Sh500, 000 kwa kosa la kumshika mwamuzi sehemu za siri kwenye mechi dhidi ya KenGold wakati akipinga maamuzi ya mwamuzi huyo. "Baada ya tukio hilo mwamuzi alimuonyesha kadi nyekundu mchezaji huyo, ambaye alimfata na kumpiga teke kabla ya kutoka nje," imeeleza taarifa ya Bodi ya Ligi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live