Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji afia Uwanjani akifanya mazoezi

Richard Mtolo Siphamandla ‘Spepe’ Mtolo

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa klabu ya Richards Bay ya Ligi kuu Afrika Kusini, Siphamandla ‘Spepe’ Mtolo amefariki Dunia leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 29 klabu hiyo imethibitisha.

Mtolo almaarufu ‘Spepe’ ambaye alikuwa anacheza nafasi ya kiungo mkabaji alianguka wakati wa mazoezi ya klabu hiyo leo asubuhi hali iliyopelekea umauti kumkuta.

Mtolo aliichezea Richards Bay FC dakika zote 90 katika kipigo cha 1-0 cha klabu hiyo dhidi ya klabu ya Kaizer Chiefs Weekend.

Hii hapa taarifa kamili ya Klabu;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live