Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji afia Uwanjani (+Video)

Raphael Dwamena Mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana Raphael Dwamena (28) amefariki Uwanjani

Sat, 11 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa kimataifa wa Ghana Raphael Dwamena amedondoka ghafla uwanjani na kufariki wakati anaitumikia timu yake KF Egnatia kwenye mchezo wa Ligi Kuu Albania dhidi ya Partizani leo Jumamosi.

Baada ya kudondoka staa huyu alipatiwa huduma ya kwanza kiwanjani hapo kisha akakimbiziwa hospitali lakini ilishindikana kumuokoa na akapoteza maisha licha ya jitihada zilizofanywa na madaktari.

Licha ya kuwa mmoja kati ya wachezaji walioonekana kuwa na kiwango bora, Dwamena muda wake mwingi wa maisha yake ya soka aliutumia nchini Austria na kwa kiasi kikubwa kiwango chake kiliathiriwa na matatizo ya moyo yaliyokuwa yanamsumbua.

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live