Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji Timu ya Taifa Zambia afariki Dunia

GG19xRJWoAAX679 Norin Betani

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Wanawake ya Zambia, Norin Betani amefariki dunia baada ya kuugua akiwa kambini akijiandaa na Mechi ya kufuzu Olimpiki dhidi ya Ghana.

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Wanawake ya Zambia, Norin Betani amefariki dunia baada ya kuugua akiwa kambini akijiandaa na Mechi ya kufuzu Olimpiki dhidi ya Ghana. Norin alilazwa katika hospitali ya Chawama Level one siku chache zilizopita baada ya kuugua na baadae akatolewa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live