Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji Promes jela miaka sita kwa kuuza madawa ya kulevya

Mchezaji Promes Jela Miaka Sita Kwa Kuuza Madawa Ya Kulevya Mchezaji Promes jela miaka sita kwa kuuza madawa ya kulevya

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Spartak Moscow kutoka nchini Urusi, Quincy Promes, amehukumiwa kwenda Gerezani miaka 6 baada ya kukutwa na hatia ya uuzaji wa dawa za kulevya siku ya jana Jumatano nchini Uholanzi.

Ukiachilia mbali kutumikia kifungo cha miaka 6, kwa mujibu wa Sky Sport News imeeleza kuwa pia mwanasoka huyo anakabiliwa na mashitaka mengine ya kumpiga na chuma binamu yake mwaka 2020 ambapo pia amehukumiwa miaka 18.

Hivyo basi huenda #Promes akatumikia jumla ya miaka 24 jela, lakini kwa mujibu wa wanasheria wake wameeleza kuwa mchezaji huyo anampango wa kukata rufaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live