Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji Pamba afungiwa kwa kumpiga refa

PAMBA BAN Mchezaji Pamba afungiwa kwa kumpiga refa

Thu, 4 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imemfungia mechi tatu mchezaji wa Pamba FC ya Mwanza na kumtoza faini ya Sh. Milioni 2 kwa makosa ya kumpiga refa na kupiga teke mlango wa kuingilia chumba cha kubadilishia nguo hadi kuuharibu.

Soma taarifa kamili ya Bodi ya Ligi hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live