Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji Jean Paul afia uwanjani

Jean Paul 07 06 At 05 Jean Paul

Mon, 8 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa AS Kigali na timu ya taifa ya Rwanda amefariki Dunia baada ya kugongana na golikipa uwanjani.

Jean Paul Ahoyikuye alikuwa anafanya mazoezi na marafiki zake wa mitaani katika mchezo wa kujiweka vizuri kutokana na Ligi Kuu kumalizika.

Taarifa zinasema kuwa mchezaji huyo wa AS Kigali alimeza ulimi baada ya kugongana na golikipa ambapo alifariki Dunia wakati anakimbizwa katika hospitali ya CHUK.

Kabla ya kuitumikia AS Kigali aliwahi pia kuichezea timu ya Kiyovu Sports zote za Ligi Kuu nchini Rwanda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live