Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji Bora Prisons kujengewa nyumba

Prisons Mwarobaoni Mabao Mchezaji Bora Prisons kujengewa nyumba

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Soka ya Tanzania Prisons ya Jijini Mbeya imeingia udhamini na kampuni ya Bens Agrostar kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya shilingi Million 150 ambao una kipengele cha kuboresha mkataba.

Timu ya Soka ya Tanzania Prisons ya Jijini Mbeya imeingia udhamini na kampuni ya Bens Agrostar kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya shilingi Million 150 ambao una kipengele cha kuboresha mkataba. Agrostar wamesema kwa nyongeza wanatoa Ahadi ya Million 10 kama timu hiyo itaibuka na ushindi katika mchezo dhidi ya Simba ama Yanga, na pia wanafikiria mwisho wa msimu mchezaji bora wa klabu aweze kujengewa nyumba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: