Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji Azene adaiwa kujiua

Bahir Dar Kenema Alelegn Azene Mchezaji Azene adaiwa kujiua

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa klabu ya Bahir Dar Kenema Alelegn Azene mwenye umri wa miaka 26 amekutwa amejiua usiku wa kuamkia leo nyumbani kwao Arba Minch mpaka sasa haijawekwa wazi sababu ya nyota huyo kuchukua uamuzi wa kujiua.

Mchezaji wa klabu ya Bahir Dar Kenema Alelegn Azene mwenye umri wa miaka 26 amekutwa amejiua usiku wa kuamkia leo nyumbani kwao Arba Minch mpaka sasa haijawekwa wazi sababu ya nyota huyo kuchukua uamuzi wa kujiua. Azene alikuwa akicheza kama midfielder kwenye klabu ya Bahir Dar Kenema na ni miongoni mwa Wachezaji wanalipwa fedha nyingi zaidi kwenye ligi Kuu ya Ethiopia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live