Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchawi wa Napoli kutua England

Napoli Star Khvicha Kvaratskhelia

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Newcastle United imeweka mezani Pauni 82 milioni kwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya Italia, Napoli ili kuipata saini ya winga wa timu hiyo Khvicha Kvaratskhelia katika dirisha hili.

Newcastle United imeweka mezani Pauni 82 milioni kwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya Italia, Napoli ili kuipata saini ya winga wa timu hiyo Khvicha Kvaratskhelia katika dirisha hili. Winga huyo wa kimataifa wa Georgia anayecheza upande wa kushoto amewekewa kiasi hicho cha pesa na iwapo kitakubaliwa kitaenda kuvunja rekodi ya usajili ya Newcastle na kumfanya Kvaratskhelia awe mchezaji ghali zaidi kuwahi kusajiliwa na Newcastle.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live