Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchambuzi: Yanga wajiandae kula pesa ndefu kwa Aziz KI

Kazi Aziz Ki 4 04 23 At 13.jpeg Mchambuzi: Yanga wajiandae kula pesa ndefu kwa Aziz KI

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa umri wa Gaucho Aziz Ki wa miaka 28 simuoni akicheza misimu miwili au mitatu zaidi hapa katika vile viunga vya Jangwani.

Kwa ubora alionao na mchango wake mkubwa ndani ya Yanga,msimu ujao wakubwa na vigogo wa Afrika watahitaji kama Al Ahly,Mamelodi na Espernace wataulizia tu saini ya Gaucho Stephane Aziz Ki.

Ligi Kubwa barani Afrika kama vile Misri,Morocco ama PSL zinakula samaki wadogo kama hawa Yanga kutokana na wachezaji wenye uweso mkubwa kama hawa wakina Gaucho Aziz Ki.

Sitasangaa kama Yanga watavuna fedha nyingi zaidi ya ile ambayo walimsajili Gaucho Stephane Aziz Ki miaka miwili iliyopita

Ameandika Mbwana Mshindo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: