Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchambuzi: Sven hawezi kurudi Simba, waache kutudanganya

Sven.jpeg Kocha wa zamani wa klabu ya Simba Sven Vandenbroeck

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutokana na changamoto ambazo ziko katika klabu zetu hasa klabu zetu kongwe katika maswala ya usimamizi na uendashaji wa klabu na kuingilia mipango ya makocha

Makocha wengi waliowahi kupita na kufundisha soka ndani ya Tanzania na kupata mafanikio na kuonekana na klabu kubwa nje ya Tanzania na kwenda kufanya kazi, Wengi huwa hawatamani kurejea Tanzania kutoka na mfumo wa uendeshaji wa timu zetu, Labda kama kocha hawe ajafanikiwa huko nje anaweza kuja tena kwanili ya kutengeneza status yake

Kwa Sven ni ngumu kurudi Simba kwakua amefanya fanya kazi ndani ya klabu hiyo kwa mafanikio lakini kuna mamba yalikuwa apendezwi nayo ndani ya klabu, Ndiyo mana ilipokuja ofa kutoka Morocco hakusita kuondoka, Kwasas kocha huyo ana profile nzuri barani Africa hivyo nafikiri atakuw nafikiria zaidi klabu zenye mipango mikubwa katika soka la Africa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live