Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchambuzi: Mo Dewji aichukue Yanga

Ngereza X Mo Dewji Mo Dewji aichukue Yanga

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Alex Ngereza amemtaka mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji kuachana na timu na badala yake aichukue Yanga SC.

"Natamani Mo Dewji anunue hisa Yanga SC aachane na Simba SC kwa sababu inaonekana watu wa Simba wanamfelisha sana kama akinunua hisa Yanga na jinsi ambavyo anajua kutumia fedha kwenye mpira Yanga wataenda kushinda taji la Afrika.

"Mkumbuke huyu ni bilionea wa Afrika anatambulika na Yanga hawajawahi kuongozwa na billionea ambaye anatambulika," amesema Alex Ngereza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live