Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mc Tominay aihakikishia Man United alama tatu EUROPA

Scott Mc TOminay Mc Tominay aihakikishia Man United alama tatu EUROPA

Fri, 14 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la mtokea benchi, Scott McTominay dakika ya 90 na ushei limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Omonia Nicosia ya Cyprus katika mchezo wa Kundi E UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.

Bao la mtokea benchi, Scott McTominay dakika ya 90 na ushei limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Omonia Nicosia ya Cyprus katika mchezo wa Kundi E UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Kwa matokeo hayo, Man United inafikisha pointi tisa, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi tatu na Real Sociedad, wakati Omonia Nicosia inaendelea kushika mkia ikiwa haina pointi nyuma ya Sheriff yenye pointi tatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live