Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbwana Mkata ala shavu Ligi Kuu

Mbwana Mkata Prisons Mbwana Mkata ala shavu Ligi Kuu

Tue, 25 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

KLABU ya Tanzania Prisons imemtambulisha Mbwana Makatta kuwa Kocha wake mpya Mkuu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.

KLABU ya Tanzania Prisons imemtambulisha Mbwana Makatta kuwa Kocha wake mpya Mkuu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Makatta mwenye uzoefu wa kufundisha timu mbalimbali za Ligi Kuu kwa zaidi ya miaka 30 - anajiunga na Tanzania Prisons baada ya kuondolewa Pamba Jiji FC siku chache baada ya kuipandisha Ligi Kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live