Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbwana Makata akalia kuti kavu Pamba Jiji FC

Mbwana Makata Kocha wa Pamba Jiji, Mbwana Makata

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi zinasema Klabu ya Pamba Jiji ya Jijini Mwanza, huenda ikaachana na kocha wake Mkuu Mbwana Makata na hii ni kutokana na Matokeo yaliyo nje ya Matarajio yao na yasiyoridhisha.

Mpaka sasa klabu ya Pamba Jiji FC, imecheza Michezo 5 ya Ligi ya Championship na matokeo yake sio ya kuridhisha kwa timu hiyo ambayo inapambana kurudi Ligi Kuu.

Katika michezo hiyo mitano;

Ushindi 2

Sare 2

Kufungwa 1

Nafasi 7

Chanzo: www.tanzaniaweb.live