Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mboto: Mechi zilizobaki za Yanga tutacheza sisi Mashabiki (+Video)

Mboto Haji Mboto

Sat, 13 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shabiki wa Yanga SC Mboto atamba mechi zilizobaki baada ya kuwa Mabingwa dhidi ya Tanzania Prisons na Mbeya City waachiwe wao mashabiki wacheze tu.

Yanga wametwaa ubingwa wa NBC Primia Ligi msimu wa 2022/23 leo Mei 13 katika Uwanja wa Azam Complex baada ya kuichapa Timu ya Dodoma Jiji Mabao 4-2 na kufikisha alama 74.

Msikilize Mboto akitamba kwenye Video fupi hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Manara TV (@manaratv__)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live