Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbongo atakata Ligi Kuu Kenya

Oscar Paul Kenya.jpeg Mbongo atakata Ligi Kuu Kenya

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji Mtanzania Anayekipiga ndani ya ligi kuu ya Kuu ya Kenya akiwa na klab ya Kakamega Home Boyz ( @fchomeboyz ) Oscar Paul amejumuishwa kwenye kikosi bora cha wiki cha ligi kuu nchini humo,

Na hii ni baada ya kuisadia klabu yake hiyo kuibuka na Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya @ulinzistarlets siku ya Jumapili (alifunga goli pekee la ushindi),

Oscar Paul aliwahi ichezea klab ya Tanzania Prison na timu ya Taifa ya Vijana (U-20).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live