Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbongo afanya kweli Saudi Arabia

Enekia Kasonga Goals.jpeg Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania, Enekia Kasonga

Sun, 17 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania, Enekia Kasonga akiwa na Klabu yake ya Eastern Flames hapo jana alifunga magoli mawili dhidi ya Al Hilal kwenye mchezo wa ligi kuu ya Wanawake ya Saudi Arabia mechi ikiisha kwa Al Hilal kushinda 4-2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live