Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbeya City yashusha wanne

Mbeya City Mbeya City yashusha wanne

Tue, 17 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mbeya City imetangaza kusajili wachezaji wanne wakati wa dirisha dogo la usajili lililofungwa hivi karibuni.

Taarifa ya klabu hiyo imewataja wachezaji hao kuwa ni James Msuva, Salum Kihimbwa, Abdulazack Hamza na Charles Masenga.

Aidha Mbeya City imesema pia kuna wachezaji waliotoka klabuni katika kupindi hicho.

Imewataja kuwa ni Jukumu Kibanda na Faisal Mganga(Mkopo), Joseph Ssemujju(mwisho wa mkataba), Frank Ikobela(mapumziko nje ya kikosi/majeruhi) na Nelson Ruta na Chesco Mwasimba(waliotolewa kikosini).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live