Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbele ya Mungu mimi na Ronaldo ni wanandoa - Georgina

Georgina Qnd Ronaldo Y.jpeg Georgina na Ronaldo

Mon, 27 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Georgina Rodriguez (29) ambaye ni mpenzi wa Cristiano Ronaldo, ametoa dokezo kubwa juu ya harusi yao baada ya kudai kuwa yeye na Ronaldo ni wanandoa.

Katika msimu wa pili wa kipindi chake cha ” I am Georgina” ( Mimi ni Georgina) kinachorushwa katika mtandao wa Netflix ,Georgina anazungumzia mambo mbalimbali ikiwemo uhusiano wake na Ronaldo kwa undani.

”Cristiano namimi ni wanandoa mbele za macho ya Mungu, hilo tu ndilo la muhimu kwangu.Iko siku sherehe itafuata”

Georgina na familia wanaonekana kuanza kuzoea vizuri maisha yao mapya huko Saudi Arabia ambapo Ronaldo anaichezea Al-Nassr.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live