Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbappe wa Bongo azidi kufanya makubwa Ubelgiji

Kelvin Sds Mbappe wa Bongo azidi kufanya makubwa Ubelgiji

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji kinda wa Tanzania anayekipiga KRC Genk ya nchini Ubelgiji, Kelvin Pius John (20) ameendelea kung’aa katika ligi ya vijana nchini humo baada ya jana kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 5-1.

Genk U - 23 ilicheza dhidi ya Royal Francs-Borains U - 20 na Kelvin akifunga bao moja na kutengeneza bao lingine moja.

Bao hilo la Kelvin limemfanya afikishe idadi ya mabao mawili katika ligi hiyo na kuwa kinara wa upachikaji mabao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live