Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbappe mfungaji bora wa Kombe la Dunia 2022

Mbappe Ms.jpeg Kylian Mbappe

Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amefanikiwa kuchukua tuzo ya mfungaji bora wa michuano ya kombe la dunia 2022.

Mbappe ameweka rekodi ya ufungaji magoli mengi katika michuoano ya Kombe la Dunia 2022 baada ya kufunga magoli 3 na kufikisha jumla ya magoli 8 akiwa mbele ya Lionel Messi mwenye magoli 7.

Argentina imeifunga Ufaransa kwa penati 4 - 2 baada ya kutoka sare ya 3 - 3 katika kipindi cha dk 120.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live