Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbappe kutangazwa Real Madrid siku wa leo

Mbappe PSG Brace Mbappe kutangazwa Real Madrid siku wa leo

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga Mfaransa Kylian Mbappé amethibitisha kwamba uhamisho wake kwenda kwa Mabingwa mara 15 wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid utatangazwa usiku wa leo.

Winga Mfaransa Kylian Mbappé amethibitisha kwamba uhamisho wake kwenda kwa Mabingwa mara 15 wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid utatangazwa usiku wa leo. Fabrizio Romano anaripoti kuwa Mbappé amemwambia Emmanuel Macron kuwa tangazo litakuwa usiku wa leo kwenye mkutano wa hadhara mapema leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live