Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbappe kuipa Ligi ya Ufaransa hasara ya Bilioni 382

Mbappe Record Kylian Mbappe

Sun, 18 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Kylian Mbappe kutangaza kuondoka PSG Ligi kuu nchini Ufaransa itakosa kiasi cha takribani €140M [TZS Billion 382] Million kutoka kwa wamiliki wa haki za matangazo ya Television kwa miaka mitano ijayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live