Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbappe awaliza Madrid dakika za lala Salama

Mbappe Ktlian 15 Goli la Mbappe laipa ushindi PSG usiku wa ana mbele ya Madrid

Wed, 16 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matajiri wa Jiji la Paris, Timu ya Paris Saint-Germain (PSG) wamepata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris, Ufaransa.

Bao pekee la PSG limefungwa na Kylian Mbappe dakika ya 90 na ushei katika mchezo ambao Muargentina Lionel Messi alikosa penalti baada ya mkwaju wake kuokolewa na kipa Thibaut Courtois.

Penalti hiyo ilitolewa baada ya beki Dani Carvajal kumchezea rafu Mbappe kwenye boksi dakika ya 62.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live