Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbappe atumia Bilioni 1.4 kununua Picha ya Pele

Mbappe X Pele Mbappe atumia Bilioni 1.4 kununua Picha ya Pele

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji kutoka ‘klabu’ ya PSG, Kylian Mbappé ameripotiwa kutumia Dola 566,514 ikiwa ni zaidi ya Sh 1.4 bilioni kununulia mchoro wa marehemu nyota wa soka wa Brazil Pele

Mbappe alinunua mchoro huo katika tamasha lililopanga kuchangisha fedha kwa ajili ya kutoa hisani ambapo mchezaji huyo alimshinda rafiki yake Achraf Hakimi kwa kutaja dau kubwa zaidi.

Ikumbukwe kuwa mchoro huo uliundwa na msanii wa kisasa wa Ufaransa aitwaye Alexandre Hopare.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live