Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbappe arudishwa kikosini PSG

Mbappe Kiburi Kylian Mbappe

Sun, 13 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kylian Mbappé ameruhusiwa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha PSG baada ya mazungumzo ya jana kabla ya mchezo wa ligi kuu.

Kylian Mbappé ameruhusiwa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha PSG baada ya mazungumzo ya jana kabla ya mchezo wa ligi kuu. Mbappe alitolewa kwenye mipango ya klabu kutokana na kugoma kuongeza kandarasi mpya PSG huku akihusishwa sana kujiunga na Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live