Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Mbappe’ aongezwa Taifa Stars

Kelvin Sds ‘Mbappe’ aongezwa Taifa Stars

Tue, 19 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa KRC Genk, Kelvin John ‘Mbappe’ ameongezwa katika kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachojiandaa na Mashindano ya FIFA Series 2024.

Mshambuliaji wa KRC Genk, Kelvin John ‘Mbappe’ ameongezwa katika kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachojiandaa na Mashindano ya FIFA Series 2024. Kelvin aliyekosa Mashindano ya AFCON nchini Ivory Coast amerudishwa kikosini na atakuwa sehemu ya kikosi cha kocha Hemed Suleiman kilichoko nchini Azerbaijan kwa ajili ya michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live