Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbappe aomba sapoti Afrika "Nyie ni ndugu zetu"

Mbappe 2 Goals.jpeg Mbappe aomba sapoti Afrika "Nyie ni ndugu zetu"

Sat, 17 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema kwenye mechi yao ya fainali dhidi ya Argentina anategemea sapoti kubwa kutoka barani Afrika kwa kuwa Wafaransa wengi asili yao ni Afrika.

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema kwenye mechi yao ya fainali dhidi ya Argentina anategemea sapoti kubwa kutoka barani Afrika kwa kuwa Wafaransa wengi asili yao ni Afrika. "Nategemea kuona sisi tutakuwa na mashabiki wengi zaidi kutoka barani Africa, tofauti na Argentina ambao wao mashabiki wao ni wale wa Messi,Sisi mashabiki wetu ni watu wote duniani na Africa ambao ni kwa asilimia 80% ni ndugu zetu "Kylian Mbappe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live