Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbappe aifungia Ufaransa ikiilaza Luxembourg

Mbappe France Kylian Mbappé.

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji mpya wa Real Madrid, Kylian Mbappé ameifungia timu yake ya Taifa ya Ufaransa bao kwenye ushindi wa 3-0 wa Ufaransa dhidi ya Luxembourg.

Mchezo huo umemshuhudia N'Golo Kanté akirejea kwenye kikosi cha Ufaransa baada ya miaka miwili.

FT: France 3-0 Luxembourg

⚽ Muani 42'

⚽ Clauss 70'

⚽ Mbappe 86'

Bao alilofunga Mbappé ni mahsusi kwa mjomba wake ambaye amefariki hivi karibuni anayefahamika kwa jina la Alex.

MATOKEO MENGINE MECHI ZA KIRAFIKI

FT. Slovakia 4-0 San Marino

FT. Denmark 2-1 Sweden

FT. Norway 3-0 Kosovo

FT. Belgium 2-0 Montenegro

FT. Spain 5-0 Andorra.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live