Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbabe wa Yanga kuongezewa kandarasi

Johora 952 Erick Johora

Sun, 9 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mashujaa FC imeanza mazungumzo ya mkataba mpya na Mlinda Mlango wake Erick Johora ili aendelee kusalia klabuni hapo kuelekea msimu ujao.

Klabu ya Mashujaa FC imeanza mazungumzo ya mkataba mpya na Mlinda Mlango wake Erick Johora ili aendelee kusalia klabuni hapo kuelekea msimu ujao. Erick alijiunga na Mashujaa akitokea Geita Gold na kusainu mkataba wa miezi sita ambao tayari umemalizika, hivyo jitihada za kuhakikisha Johora anasalia zimeanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live