Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbabe wa Yanga apewa thank you na Ihefu

Katwila WA0011 Mbabe wa Yanga apewa thank you na Ihefu

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Ihefu imefikia makubaliano ya pamoja kuvunja mkataba miongoni mwao. Katwila ambaye misimu miwili mtawalia ameweka rekodi kuifunga Yanga SC kwenye uwanja wa nyumbani wa Highland Estates kwa bao 2 - 1 kiasi cha kuonekana kiboko ya timu hiyo ya mitaa ya Jangwani/Twiga ambayo ni bingwa mtetezi wa ligi Kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live