Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbabe wa Man United apewa tuzo Crystal

Jean Philippe Mateta Jean-Philippe Mateta.

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji Jean-Philippe Mateta amepewa tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa Crystal Palace.

Mchezaji huyo ni miongoni mwa wachezaji waliofunga bao katika ushindi wa Palace dhidi ya Manchester United mwanzoni mwa wiki hii.

United ilikutana na kisago cha mabao 4-0 kutoka kwa Palace katika Uwanja wa Selhurst Park na mchezo huo ulichezeshwa na mwamuzi Jarred Gillett.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live