Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mazembe yatua na Mashabiki wake

Tp Mazembe Fans.jpeg Mashabiki wa TP Mazembe

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya TP Mazembe imesafiri na mashabiki wake kutoka DR Congo hadi Dar Es Salaam kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Esperance de Tunis, mchezo utakaopigwa Jumapili October 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 12:00 Jioni.

Klabu ya TP Mazembe imesafiri na mashabiki wake kutoka DR Congo hadi Dar Es Salaam kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Esperance de Tunis, mchezo utakaopigwa Jumapili October 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 12:00 Jioni. Mazembe iliwasili nchini Jana usiku na tayari wanajipanga kwa ajili ya mvchezo huo muhimu kwao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live