Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele kuwakosa Mamelodi Sundowns

Mayele Awachana Simba 'wamefuzu Kikanuni Tu, Hamna Kitu' Mshambuliaji wa Pyramids FC, Fiston Mayele

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Pyramids FC, Fiston Mayele hajasafiri kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mechi ya CAF CL dhidi ya wenyeji wao Mamelodi Sundowns.

Mshambuliaji wa Pyramids FC, Fiston Mayele hajasafiri kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mechi ya CAF CL dhidi ya wenyeji wao Mamelodi Sundowns. Mayele ataukosa mchezo huo Jumapili hii kutokana na issues za Visa ambazo zimefanya ashindwe kuingia Afrika ya Kusini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live