Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele gari limewaka, atupia na kuipa ushindi Pyramids

Fiston Mayele Score For Congo Mayele gari limewaka, atupia na kuipa ushindi Pyramids

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mvp na Mfungaji bora wa NBCPL msimu uliopita akiwa na Yanga Fiston Mayele ametajwa kama nyota wa mchezo (MOTM) baada ya kufunga bao pekee lililoipa timu yake alama tatu hii leo kwenye mechi ya Ligi.

Mbungi hiyo ilipigwa jana Oktoba 8, 2023. PYRAMIDS FC 1-0 ENPPI ⚽️ 13" Mayele

MECHI NYINGINE YA LIGI HIYO AL AHLY 3-1 ISMAILY ⚽️ 23" Tau ⚽️ 38" Shahat ⚽️ 65" Tau

⚽️ 90 Anoor

Chanzo: www.tanzaniaweb.live