Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele awachana live waandishi wa kibongo, "Acheni ushamba na kutunga stori" (+Video)

Mayele Awachana Simba 'wamefuzu Kikanuni Tu, Hamna Kitu' Fiston Mayele

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

'Straika la Boli' Fiston Kalala Mayele, ambaye aliwahi kupita katika Klabu ya Yanga na kufanya mambo makubwa yaliyofanya ajulikane Afrika nzima.

Amewachana Wabongo (hasa wanahabari), na kuwaita 'washamba' kwa kitendo cha kuandika tetesi za usajili wake, zinazodai anataka kuvunja mkataba na Klabu ya Pyramids na kusajiliwa na moja ya vilabu vya Bongo.

Msikilize Mayele kwenye Video hapa chini akitoa povu;

View this post on Instagram

A post shared by TIMES FM (@timesfmtz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live