Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele atoa neno kuondoka kwa Feisal Yanga

Mayele X Fe ToTO Mayele atoa neno kuondoka kwa Feisal Yanga

Thu, 8 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zikiwa zimepita dakika chache tangu kutangazwa rasmi kwa mchezaji Feisal Salum kujiunga na Azam FC.

Mshambuliaji wa Yanga Raia wa Congo, Fiston Mayele ambae amekipiga na mchezaji huyo katika Klabu ya Yanga ametoa neno kwa mchezaji huyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mayele ameweka Picha akiwa na Feisal pamoja na Video alimtengenezea pasi ya bao na kuandika;

"kila heri fundi mpira kwa majikumu yako mpya mwanangu"

Nae Feisal alirudi katika Commeny na kumjibu mayele;

"Asante sana bro"

Feisal amejiunga na Yanga mpaka mwaka 2026 huku bei aliyouzwa ikiwa haijawekwa wazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: