Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele atetema Msimbazi

Ef2cf958d834f6b6df3cab5cbe3f05c2 Msafara wa Kikosi cha Yanga

Sun, 26 Jun 2022 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Kalala Mayele, ameibua shangwe kwa mashabiki wa Yanga baada ya kuonesha staili yake ya kutetema eneo la Msimbazi, Dar es Salaam yalipo makao makuu ya klabu ya Simba.

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Kalala Mayele, ameibua shangwe kwa mashabiki wa Yanga baada ya kuonesha staili yake ya kutetema eneo la Msimbazi, Dar es Salaam yalipo makao makuu ya klabu ya Simba. Mayele akiwa katika basi la wazi pamoja na wachezaji wenzake wa Yanga, baada ya gari lao kufika eneo hilo la Msimbazi, lilisimama kwa muda nay eye kutokeza mbele ya basi hilo maalum na kuonesha staili yake ya kushangilia.

Chanzo: www.habarileo.co.tz