Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele alivyotua Uwanjani kucheki mechi ya Al Ahly vs Simba (+Video)

Mayele Cairoooo Fisto Mayele akitazama mchezo wa Al Ahly vs Simba

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliekuwa Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga ambae kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Pyramids FC ya Misri. Mkongo Fiston Mayele jana Oktoba 24 alikuwa ni sehemu ya Mashabiki waliofika katika Uwanaja wa Kimataifa wa Cairo kushuhudia mchezo wa Robo Fainali ya AFL kati ya Al Ahly dhidi ya Simba SC.

Mayele anawajua vizuri Simba ambapo alicheza dhidi yao mara kadhaa akifanikiwa kupachika mabao matatu.

Mtazame Mayele akiwa Uwanjani;

View this post on Instagram

A post shared by Dozen’s Selection (@dozenselection)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live