Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele alia na Mashabiki wa Yanga mtandaoni

Mayele Sa Fiston Mayele

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Pyramids ya Misri na timu ya Taifa ya DR Congo Fiston Mayele ameweka ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram akionesha kuumizwa na kitu na kuwataja mashabiki wa Yanga alipojibu moja ya comment ya shabiki yake.

Ujumbe wa Mayele unasomeka “CHUKI YA NINI MIMI SIO MTANZANIA ,NILIKOSEA KUCHEZA TIMU YA TANZANIA”

Imumbukwe kabla ya kwenda Pyramids Mayele alikuwa mchezaji wa Yanga.

Tunaendelea kufuatilia ili kubaini chanzo ni nini cha mchezaji huyo kutoa kauli hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live