Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele akosa kiatu cha ufungaji bora Misri

Mayele Abou Wissa Mayele akosa kiatu cha ufungaji bora Misri

Thu, 15 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rasmi Ligi Kuu nchini Misri imetamatika kwa Aly Ahaly kutawazwa kuwa mabigwa wapya wa Misri kwa msimu wa mwaka 203/24.

Mshambuliaji wa klabu ya Al Ahly, Wessam Abou Ali ametawazwa kuwa Mfungaji Bora wa Ligi ya Misri akiwa na mabao 18 wakati Fiston Mayele akiwa na mabao 17.

Wessam anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Palestina kushinda taji la Ligi ya Misri.

Huu ni msimu wa mwingine kwa Mayele akikosa kiatu cha ufungaji bora dakika za mwisho. Akiwa nchini kwao Congo, Mayele alikosa kiatu mbele ya Jean Baleke, msimu wa kwanza akiwa Yanga alikosa pia kiatu mbele ya George Mpole.

Aidha, Mayele msimu uliotamatika mwaka jana, Mayele alichukua tuzo hiyo pamoja na Saido Ntibazonkiza aliyekuwa Simba kwa kuwa na mabao 17 kila mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live