Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele aingia anga za Salah, Mane Tuzo za CAF 2023

Mayele Fiston Upepo Fiston Mayele

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga ambaye kwasasa anacheza Pyramids ya Misri, Fiston Mayele ameingia katika kinyang'anyiro cha mchezaji anayewania tuzo za CAF kipengele cha mchezaji bora wa mwaka Afrika 2023.

Tuzo hizo zitatolewa Desemba 11 nchini Morocco.

Hii ndio orodha ya Nyota wanaowania Tuzo hiyo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live